Friday 8 January 2016

KALAMU KUTOKA TANZANIA

OCTOBER 06, 2013
Kwanza kabisa natoa pole kwa wale wote waliousurika  na janga la kuzama kwa boti baharini nchini Italia katika kisiwa kiitwacho "Lampedusa",  wengi wao wakitoka pembezoni kasikazini mwa Afrika kuelekea barani Ulaya. Na Mungu azilaze roho za marehemu waliofia baharini mahari pema peponi.